DIAMOND AZINDUA MRADI WA KUUZA KARANGA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI
 Mwanamuziki
 wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) 
akizungumza na wakazi wa Ilala Mchikichini wakati alipokuwa akifanya 
shoo ya uzinduzi wa Karanga zake zinazokwenda kwa jina la Diamond 
Karanga zitakazouzwa madukani kote katika mfumo wa kisasa.
| 
Mwanamuziki
 wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) akitoa
 Burudani kwa mashabiki wake waliofika katika uzinduzi wa Karanga zake 
uliofanyika katika Viwanja vya soko la Mchikichini Karume Ilala Jijini 
Dar es Salaam  | 
 Mama 
mzazi wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 
(Diamond Platnumz) akiwa anakula Karanga za mtoto wake mara baada ya 
kuzinduliwa Karume jijini Dar es Salaam
 Mashabiki
 wa Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul (Diamond 
Platnumz) wakigawana Karanga mara baada ya kuzinunua mara baada ya 
uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya soko la Mchikichini jijini Dar 
es Salaam
source http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/diamond-azindua-mradi-wa-kuuza-karanga.html 
