-->

STEP BY STEP HOW TO APPLY FOR HIGH EDUCATION STUDENT LOAN BOAD (HESLB)

- August 04, 2017

How to apply for loan

Kwa mara ya kwanza pata bahati ya kujifunza namna ya kuapply kwa ajili ya mikopo ya elimu ya juu ndani ya kwa hatua zifuatazo:-

Kwanza mwanafunzi anatakiwa kuwa na kiasi cha Tshs kwenye akaunti yake ya M-pesa, kisha nenda kwenye menu ya M-pesa kwa tovuti hii:-
How to pay via MPESA

Kumbuka utahitaji kuwa na form four index namba wakati wa kufanya muamala huo kwa m-pesa 


Baada ya kuwa umeshalipia kwa M-pesa utapata ujumbe kutoka M-pesa ukuthibitisha kulipwa kwa pesa hiyo katika namba ya mtihani wa Kidato cha nne uliyoijaza, Nukuu "Transaction ID" hiyo kisha nenda katika tovuti hii www.olas.heslb.go.tz hapo utaweza kufungua profile yako na kufuata hatua nyingine za ujazaji fomu online kisha utaiprint na kujaza baadhi ya vitu vinavyohitajika.

Vifuatavyo ni baadhi ya vitu muhimu vinavyohitajika kwenye aplication hiyo.


1. Cheti cha kuzaliwa(Birth Certificate)
2. Cheti cha matokeo ya mtihani ya kidato cha 4(Form 4 certificate)
3. Cheti cha matokeo ya mtihani ya kidato cha 6(Form 6 certificate) AU cheti cha Stashahada (kwa waombaji wanaotokea ngazi ya Stashahada))
4. Endapo mzazi/wazazi hawapo hai, cheti cha kifo (in case of deceased parent, death certificate)
5. Endapo mwanafunzi au mzazi ni mlemavu, Barua ya uthibitisho ya Daktari (if parent/applicant is disabled, Doctor's Letter)
6. Endapo mzazi ni mstaafu, Barua ya kustaafishwa (if parent is retired, official letter of retirement)
7. Pasi ya kusafiria au Kitambulisho cha Mpiga Kura au kitambulisho cha Mzanzibari mkazi cha mdhamini (Guarantors Passport or
Voter's Registration Card).


Maelekezo Mengine
1. Andika Jina lako na Form IV Index Number yako nyuma ya picha kisha bandika panapostahili
2. Tuma fomu iliyosainiwa, kuwekwa picha na viambatanisho vingine kwa njia ya "EMS" kisha tunza risiti kama uthibitisho.
3. Hakikisha umetoa nakala (copy) ya fomu iliyosainiwa pamoja na viambatisho vyote kabla hujaituma Bodi.
4. Tarehe