-->

PITA HAPA UONE WAHENGA 10 NA METHALI ZAO

- July 11, 2017
1. Mhenga aliyesema KUA UYAONE

2. Mhenga aliyesema CHA MTU MAVI

3. Mhenga aliyesema UKITAKA KURUKA AGANA NA NYONGA

4. Mhenga aliyesema MGAGAA NA UPWA.

5. Mhenga aliyesema SIKIO HALIZIDI KICHWA

6. Mhenga aliyesema JINO MOJA MSWAKI WA NINI?

7. Mhenga aliyesema KIKULACHO KINGUONI MWAKO

8. Mhenga aliyesema UKITAKA UZURI LAZIMA UZURIKE

9. Mhenga aliyesema JUNGU KUU HALIKOSI UKOKO

10. Mhenga aliyesemaUKUBWA WA PUA SIO WINGI WA KAMASI